Skip to main content
Skip to main content

Watu 12 watoweka Mombasa, mtoto mmoja apatikana mpaka wa Kenya-Tanzania

  • | Citizen TV
    5,062 views
    Duration: 3:06
    Watu zaidi ya 12 wameripotiwa kutoweka kwa njia tatanishi mjini Mombasa katika kipindi cha majuma matatu. Watu wawili kati yao wameripotiwa kufariki huku wengine wasijulikane waliko. Kati ya watu sita walio patana na familia zao ni mtoto wa miaka mitatu ambaye alipatikanwa kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania. Na kama anavyoarifu Francis Mtalaki, mshukiwa anayedaiwa kumteka nyara mtoto huyo amekiri makosa mahakamani huku familia zaidi zikiiwasaka wapendwa wao.