Watu 15 wajeruhiwa na mali ya thamani isiyojulikana kuharibiwa

  • | Citizen TV
    4,535 views

    Watu 15 walijeruhiwa na mali ya thamani isiyojulikana kuharibiwa wakati wa maandamano dhidi ya serikali katika kaunti za Kisumu, Migori na Homa Bay. Waandamanaji waliweka vizingiti katika barabara kuu katika maeneo hayo huku wakikabiliana na polisi waliorusha vitoa machozi ili kutawanya makundi hayo ya waanadamanaji