Skip to main content
Skip to main content

Watu 3 wauguza majeraha kufuatia uvamizi Marakwet West

  • | Citizen TV
    1,055 views
    Duration: 3:45
    Watu watatu wanaendelea kuguza majerahaa katika kijiji cha Kapkanyar eneo bunge la Marakwet West ,kaunti ya Elgeyo Marakwet baada ya kuvamiwa usiku wa manane na nyumba zao kuchomwa kwenye mzozo wa shamba. Nyumba nane na mali ya mamilioni ya pesa iliharabiwa.