- 264 viewsDuration: 2:41Watu wanne wameshtakiwa kwa kuua bila kukusudia kufuatia kuporomoka kwa jengo moja katika mtaa wa South B jijini nairobi ambapo watu wawili waliuawa. Wanne hao waliofikishwa mbele ya hakimu Caroline Mugo wa mahakama kuu ya Milimani walikanusha mashtaka na kuachiliwa kwa dhamana huku wakisubiri kutathminiwa kwa kesi yao. Kwa habari hizi na nyingine hapa huu hapa ni mkusanyiko wa habari kutoka mahakamani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive