Skip to main content
Skip to main content

Watu 5 wafariki katika ajali ya basi na gari Kikopey

  • | Citizen TV
    5,843 views
    Duration: 1:24
    Watu watano wamefariki kwenye ajali ya barabarani iliyotokea eneo la Kikopey,Gilgil Kaunti ya Nakuru usiku wa kuamkia Jumatatu.Miongoni mwa waliofariki ni ndugu wawili na watoto wawili ambao walikuwa wanatoka Seme kaunti ya Kisumu kwa mazishi ya mama yao