Watu 70 wathibitishwa kufa kufuatia mafuriko yanayoshuhudiwa nchini

  • | TV 47
    68 views

    Huku mvua kubwa ikiendelea kushuhudiwa nchini kenya watu 70 wamethibitishwa kuaga dunia kufuatia mvua hiyo ambayo imesababisha mafuriko katika maeneo mengi. watu kumi na watano hii leo wakizama baada ya lori lililokuwa limewabeba kuzama kwenye mto muatine eneo la sultan hamud kaunti ya makueni.

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __