Watu saba wamefariki kwenye maandamano nchini

  • | Citizen TV
    5,358 views

    Watu saba wameripotiwa kufariki na wengine kujeruhiwa katika maandamano ya kisiasa yaliyosheheni vurugu, fujo, makabiliano baina ya polisi na waandanamani na katika maeneo mengine machafuko ya waandamanaji dhidi ya raia wenzao. Katika shule ya msingi ya Kihumbuini katika eneo la Kangemi, wanafunzi hamsini walijipata ndani ya machafuko wakiwa darasani.