Watu saba wamepoteza maisha kufuatia ajali ya barabarani katika barabara ya Narok kuelekea Bomet

  • | K24 Video
    165 views

    Watu saba wamepoteza maisha kufuatia ajali ya barabarani katika barabara ya Narok kuelekea Bomet. Ajali hiyo iliyotokea kilomita chache kutoka mjini Narok, ilihusisha matatu na lori.