- 2,230 viewsDuration: 1:53Watu sita pamoja na hospitali moja iliyotuhumiwa kupanga njama ya kuilaghai mamlaka ya SHA mamilioni ya fedha hii leo wameachiliwa kwa dhamana baada ya kukana mashtaka hayo. Sita hao pamoja na kliniki ya Jambo Jipya walishtakiwa kwa makosa kadhaa ikiwemo kughushi stakabadhi na kudai mamlaka hiyo ya afya kima cha shilingi milioni mbili