26 Aug 2025 10:31 am | Citizen TV 133 views Duration: 3:02 Jamii ya waturkana wanaoishi katika kaunti ya Samburu, Isiolo, Marsabit na Laikipia wamelalamikia kubaguliwa katika maswala ya ajira, wakitaka kujumuishwa Serikalini