- 286 viewsDuration: 2:16idadi ndogo ya wapiga kura wapya imesajiliwa katika eneo la Runyenjes kaunti ya embu, huku Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji akihusisha hali hiyo na mashine chache za usajili . Mukunji anasema kuwa mashine tatu pekee kwa kila wadi hazitoshi, na hivyo zinawafungia nje wapigakura wengi hasa vijana na wale wanaoishi maeneo ya mashambani.