Skip to main content
Skip to main content

Watu waliojihami wavamia mkahawa wa Hotspot Lang'ata

  • | Citizen TV
    23,460 views
    Duration: 1:59
    Watu waliojihami wakiandamana na maafisa wa polisi na mawakala wa benki wavamia mkahawa wa hotspot coffee mtaani lang'ata kaunti ya Nairobi na kundoka na mali yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 20 kwa madai kuwa mmiliki hajakuwa akilipa kodi..