- 545 viewsDuration: 2:45Idadi ya watu waliofariki kufuatia ajali iliyotokea eneo la Ekerenyo kaunti ya Nyamira usiku wa kuamkia leo sasa imefika watu wanane. Wengine wanane bado wako hospitalini wakipokea matibabu. Maafisa wa usalama bado wanamtafuta dereva wa trela aliyetoweka baada ya ajali hiyo iliyohusika trela hilo na matatu