- 25,383 viewsDuration: 1:09Watu wanane nchini Tanzania wamehukumiwa kwenda jela kwa kifungo cha kati ya miezi tano na sita kutokana na kusambaza taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo za nyeti zao kupotea baada ya kushikwa bega. @ahmedbahajj #bbcswahili #tanzania #sheria Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw