Watu wanne wahofiwa kufariki baada ya basi kupinduka kwenye daraja la Nithi

  • | KBC Video
    250 views

    Abiria wanne wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kupinduka katika daraja la Nithi kwenye barabara kuu ya Meru kuenda Nairobi. Basi hilo la kampuni ya Kensilver lilikuwa likitoka Meru kuelekea Nairobi likiwa na abiria 39.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive