Watu wanne zaidi wafariki katika ajali ya barabarani Kisayani, Makueni

  • | KBC Video
    551 views

    Watu wanne wamefariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani katika eneo la Kisayani katika kaunti ya Makueni kwenye barabara kutoka Kibwezi hadi Kitui baada ya dereva wa gari walimokuwa wakisafiria kushindwa kulidhibiti na likabingiria mara kadha.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive