Watu watano wafariki kwenye ajali Kikopey, Nakuru

  • | Citizen TV
    1,697 views

    Watu watano wamefariki katika ajali ya barabara katika eneo la Kikopey barabara kuu ya Nairobi kuelekea Nakuru. Ajali hiyo ilitokea pale trela iliyokuwa imebeba chumvi ikielekea Uganda ilipopoteza breki na kuingia kwenye duka. Watu wengine wanne waliijeruhiwa na wanapokea matibabu katika hospitali tofauti