Skip to main content
Skip to main content

Watu watatu wafariki baada ya nyumba kuporomoka Kibera

  • | Citizen TV
    1,051 views
    Duration: 2:02
    Watu watatu wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya nyumba kuporomoka mtaani Kibera hapa Nairobi. Kwa mujibu wa polisi, miongoni mwa waliofariki ni vijana wa kuokota vyuma vikuukuu. Juhudi za kuwatafuta waathirika zaidi imeendelea hadi jioni hii.