- 6,922 viewsDuration: 1:58Watu watatu wamepigwa risasi na maafisa wa polisi mtaani huruma kwenye zogo la punde zaidi mtaani humo.watatu hao walipigwa risasi na kuwachwa na majeraha wakati polisi walikuwa wakikabiliana na kundi la waandamanaji waliokuwa wakilalamikia mauaji ya mwanafunzi aliyeuawa wiki jana.