Watu wawili wafariki baada ya mapororomoko ya ardhi vijiji viwili eneo la Baringo Kaskazini

  • | NTV Video
    178 views

    Watu wawili wamefariki na wengine watatu hawajulikani walipo baada ya maporomoko ya ardhi kutukia kwenye vijiji viwili kwenye eneo bunge la Baringo kaskazini, kaunti ya Baringo. 
 Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya