Watu wawili wafariki kwenye ajali Lamu

  • | Citizen TV
    9,974 views

    Watu wawili wamefariki papo hapo huku wengine watatu wakijeruhiwa vibaya baada ya gari walimokuwa wakisafiri kuhusika kwenye ajali mbaya kwenye barabara kuu ya Lamu