Watu wawili wameripotiwa kuuawa Lamu

  • | Citizen TV
    2,454 views

    Watu wawili wameripotiwa kuuawa na washambulizi wa kundi la kigaidi la Al-Shabaab kwenye barabara ya Lamu-Witu-kuelekea Garsen.