Watu wawili waripotiwa kufariki kufuatia ajali ya lori

  • | Citizen TV
    172 views

    Watu wawili wameripotiwa kuaga dunia mapema asubuhi, eneo la Daraja Mbili mjini Kisii baada ya lori kukata Breki na kuteremka kutoka katikati mwa mji wa Kisii hadi soko la daraja mbili. Watu wengine kadhaa wamejeruhiwa