- 3,542 viewsDuration: 3:13Watu wawili wamepigwa risasi na kuuawa na maafisa wa usalama eneo la Kimwani kaunti ya Nandi kufuatia mzozo wa ardhi eneo hilo. Kwa mujibu wa maafisa wa polisi, zaidi ya vijana mia sita wanadaiwa kuvamia shamba hilo kwa lengo la kuwafurusha waliokuwa wakiishi eneo hilo wakidai shamba hilo lilinyakuliwa zaidi ya miongo minne iliyopita