- 1,312 viewsDuration: 1:08Watu wawili, akiwemo dereva wa lori, walifariki huku zaidi ya kumi wakijeruhiwa katika ajali mbaya iliyotokea asubuhi ya Jumatano eneo la Sachangwan kwenye barabara kuu ya Nakuru–Eldoret. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya