Watu wengi waachwa bila makao Mukuru-Hazina mtaa wa South B

  • | NTV Video
    5,926 views

    Ilikuwa ni kushika tama na kusalimu amri kwa wakazi wa Mukuru-Hazina mtaa wa South B hapa Nairobi hii leo baada ya matingatinga yanayobomoa mijengo karibu na mto Nairobi kubisha hodi makwao na kuanza kuangusha nyumba.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya