Matangazo ya moja kwa moja ya kituo cha televisheni nchini Ecuador yalivamiwa siku ya Jumanne na kundi la watu wenye silaha waliokuwa wamefunika sura zao.
Waliingia katika kituo cha runinga cha TC, na kuwalazimisha wafanyikazi wakae chini.
Tukio hili lilitokea siku moja baada ya hali ya hatari ya siku 60 kutangazwa kufuatia kutoweka kwa jambazi maarufu kutoka gerezani.
#bbcswahili #ecuador #televisheni
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
18 Aug 2025
- Health Cabinet Secretary (CS) Aden Duale has announced plans to set up a joint committee with the CEOs of insurance companies across the country to tackle fraudulent activities that have been plaguing the Social Health Authority (SHA).
18 Aug 2025
- President William Ruto has vowed to ensure that Members of Parliament and Senators behind an extortion scheme called soko huru are apprehended.
18 Aug 2025
- The death toll from a blast at a gunpowder plant near Moscow rose to 20, with more than 100 wounded, the authorities said on Monday, as a probe began into possible industrial safety violations.