Skip to main content
Skip to main content

Watuhumiwa wa uhaini Tanzania waachiliwa, lakini Niffer arejeshwa jela, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    22,305 views
    Duration: 28:11
    Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania amewaondolea mashtaka washtakiwa 198 waliokuwa wanakabiliwa na mashtaka ya uhaini katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, isipokuwa watu 18 ambao wamerejeshwa rumande. Mfanyabiashara Jeniffer Jovin maarufu kama Niffer na Mika Chavala ni miongoni mwa wale waliorejeshwa rumande. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw