Skip to main content
Skip to main content

Wauguzi katika kaunti ya Kwale warejea kazini baada ya makubaliano

  • | KBC Video
    72 views
    Duration: 1:18
    MGOMO WA MAAFISA TABIBU KWALE Wauguzi katika kaunti ya Kwale wamerejelea shughuli zao za kawaida baada ya kusitisha mgomo wao wa zaidi ya siku thelathini. Kurejea kwao kunafuatia mkutano wa saa 12 ambapo makubaliano kati yao na serikali ya kaunti hiyo yaliafikiwa,serikali ikikubali kutekeleza mahitaji yote sita wanayotaka. #KurunziMashinani Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive