11 May 2026 10:28 am | Citizen TV 101 views Huduma za afya katika Kaunti ya Embu huenda zikatatizika baada ya wauguzi kutoa notisi ya mgomo wa siku saba kwa serikali ya kaunti wakilalamikia kutotekelezwa kwa makubaliano yaliyofikiwa mwaka 2024.