Wauguzi na wakunga wa Mandera waadhimisha wiki yao

  • | Citizen TV
    39 views

    Hospitali ya rufaa ya Mandera inasherehekea wiki ya wauguzi na wakunga kwa kuwatambua kwa kujitolea katika kupunguza vifo vya kina mama wanapojifungua pamoja na watoto.