Skip to main content
Skip to main content

Wauguzi watia saini mkataba wa kurejea kazini Isiolo

  • | Citizen TV
    64 views
    Duration: 1:09
    Wauguzi katika Kaunti ya Isiolo wametia saini mkataba wa kurejea kazini na kukomesha mgomo wa miezi miwili uliokuwa umesambaratisha huduma za afya katika hospitali zote za umma za kaunti hiyo.