3 Apr 2026 1:08 pm | Citizen TV 545 views Duration: 1:12 Waumini wa Kanisa Katoliki mjini Bungoma wakiongozwa na Padre mkuu wa Christ the King , Jeremiah Manuni, wamefanya matembezi ya kufuata njia ya msalaba , ili kukumbuka mateso, kufa na ufufuko wake Yesu Kristu.