Skip to main content
Skip to main content

Waumini wa Kikristo waadhimisha Ijumaa Kuu Nairobi

  • | Citizen TV
    1,396 views
    Duration: 3:07
    Waumini wa Kikristo kote ulimwenguni leo wameadhimisha Ijumaa Kuu, siku muhimu katika kalenda ya Kikristo inayokumbuka mateso na kifo cha Yesu Kristo msalabani. Hapa jijini Nairobi, Askofu Mkuu Philip Anyolo ameongoza Ibada ya Njia ya Msalaba kutoka Kanisa Kuu la Holy Family Basilica, ibada takatifu ya Kikatoliki ambapo waumini huigiza na kutafakari saa za mwisho za maisha ya Yesu kupitia vituo 14 vya sala. Viongozi wa kidini wamewahimiza Wakristo kuishi kwa upendo, unyenyekevu na kujitolea.