- 31,431 viewsDuration: 1:21Wavunaji hawa wa asali wamekuwa wakipanda miti yenye urefu wa hadi mita 50 bila vifaa vya usalama wakitafuta mizinga ya nyuki pori. Tsazama jinsi wanavyolina asali kwa njia hii iliyowashangaza wengi @beldeen__waliaula #bbcswahili #asali #indonesia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw