Wavuvi kutoka ufuo wa Sori, Migori, wanalalamikia hali duni ya matayarisho ya El-Nino

  • | Citizen TV
    138 views

    Wavuvi kutoka Ufuo wa Sori kaunti ya Migori wameelezea wasiwasi wao kufuatia hali duni ya matayarisho Kutoka kwa Serikali kuu na ile ya kaunti kuhusu mvua ya El-Nino inayotarajiwa nchini. Wakizungumza katika Ufuo huo, wavuvi hao walikiri kuwa hawajaweza kupata mafunzo yoyote kuhusu athari ya mvua hiyo na pia wanahofia hasara kubwa wakati wa mvua hiyo. Sasa wanataka serikali kufanya hima kuwapa hamasisho ya namna ya kujilinda na mvua hiyo.