- 263 viewsDuration: 1:56Wawakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Busia pamoja na kaimu karani wa bunge hilo gabriel erambo wametaka usalama uimarishwe kwenye majengo ya bunge hilo, siku chache tu baada ya mlango wa ofisi ya karani huyo kuvunjwa na kubadilishwa na watu wasiojulikana.