Wawakilishi wadi wamkemea gavana kwa kutowajibikia maendeleo

  • | Citizen TV
    88 views

    Baadhi ya wawakilishi wadi katika kaunti ya busia wamejitokeza kulalamikia utepetevu katika utekelezaji wa miradi ya serikali ya kaunti katika wadi zao wakimlaumu gavana wa kaunti hiyo paul otuoma kwa kufumbia macho miradi muhimu mashinani