Wawakilishi wadi watakiwa kuwasilisha mswada wa kuwasaidi wanaojifungua pacha

  • | West TV
    34 views
    Mwakilishi wa wanawake kaunti ya Kakamega Bi Elsie Muhanda amejitokeza na kuwarai wawakilishi wadi katika bunge la kaunti ya Kakamega kuwasilisha mswada wa kuwasaidia wanawake wanaojifungua pacha ili wapate usaidizi wa serikali.