Wawekezaji wafufua utalii katika kaunti ya Kilifi

  • | Citizen TV
    154 views

    Waziri wa utalii wa kaunti ya Kilifi anasema ajira zaidi ya 10,000 zimebuniwa katika Kaunti hiyo kupitia juhudi za ufufuzi wa utalii na serikali ya kaunti hiyo pamoja na washikadau wa sekta ya utalii .