Wazazi katika kaunti ya Samburu washauriwa wawalinde watoto wakati wa likizo ndefu

  • | Citizen TV
    213 views

    Wazazi katika kaunti ya Samburu wamehimizwa kuwajibika katika kuwalea wana wao, sawa na kutenga muda wa kuzungumza nao kipindi hiki cha likizo ndefu, ili kukabiliana na tatizo la mimba za utotoni ambazo zimekuwa zikiongezeka katika kaunti hiyo