Wazazi wa shule ya Upili ya Isongo Mumias Mashariki wamtimua Mwalimu Mkuu

  • | West TV
    88 views
    Wazazi wenye hamaki wamemfurusha mwalimu mkuu wa shule ya upili ya st.gabriel isongo eneo bunge la mumias masharariki kaunti ya kakamega kwa madai ya matokeo duni na uongozi mbaya mbali na kutowalipa wafanyakazi wa shule hiyo