Skip to main content
Skip to main content

Wazazi wa wanafunzi waliofariki kwa kuangukiwa na vifusi vya jengoshuleni Kayole wadai haki

  • | Citizen TV
    5,964 views
    Duration: 3:16
    Wazazi wa wanafunzi wawili waliofariki baada ya kuangukiwa na vifusi kutoka kwa jengo moja huko Kayole, sasa wanaitaka serikali kuhakikisha watoto wao wamepata haki. Hii leo, makachero wa DCI walikita kambi katika shule hiyo ya Emmanuel New Life learning centre kuanzisha uchunguzi kuhusiana na yaliyojiri