16 Dec 2025 1:14 pm | Citizen TV 268 views Duration: 1:48 Wazazi katika kaunti ya Busia wamehimizwa kuwajibika na kuhakikisha kuwa watoto wao wanaendeleza masomo hata wakiwa nyumbani kwa usaidizi ili kuwezesha mtaala wa CBE kuwa na ufanisi kikamilifu.