Wazazi wapinga kuhamishwa kwa mwalimu mkuu wa shule ya upili ya St. Phillips huko Nyamira

  • | Citizen TV
    411 views

    Shughuli za masomo katika shule ya upili ya St. Phillips Nyamira zimetatizika kwa siku mbili sasa, baada ya wanafunzi na wazazi kuandaa maandamano kupinga kuhamishwa kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Bernard Moroti.