Wito umetolewa kwa wazazi kuchukua jukumu katika kuwafundisha watoto wao nidhamu na maadili huku wasiwasi ukizidi kutokana na ongezeko la machafuko shuleni kote nchini. Viongozo katika kaunti ya Kilifi wanasema kuongezeka kwa matukio ya utovu wa nidhamu shuleni, ikiwa ni pamoja na visa vya kuteketeza shule, yameibua wasiwasi mkubwa na yanahitaji ushiriki mkubwa wa wazazi na walezi. Wasiwasi huo unafuatia mfululizo wa matukio ya machafuko yaliyoripotiwa katika shule kote nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive