- 307 viewsDuration: 2:38Wizara ya elimu imetetea mchakato wa uteuzi wa shule ikisema kuwa mfumo huo ni wa kidijitali na wa uwazi ili kuhakikisha kila mwanafunzi anapata fursa ya kujiunga na shule wanayotaka kuambatana na upatikanaji wa nafasi. Maafisa wa elimu wamesema kuwa mchakato huo unanuiwa kuhakikisha usawa na uwajibikaji huku ukipunguza kuvurugwa kwa shughuli hiyo hali ambayo huenda ikawaathiri wanafunzi. Ili kuimarisha usimamizi na utoaji huduma wizara hiyo imeanzisha programu mpya ya kidijitali ya mfumo wa usimamizi wa habari za elimu nchini, (KEMIS) ambao utajumuisha maswala yote ya elimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive