Wazazi watakiwa wawalinde watoto dhidhi ya ukeketaji wakati wa likizo Kisii

  • | Citizen TV
    209 views

    Mashirika mbalimbali ya serikali na yale yasiyo ya serikali yametoa tahadhari kwa wazazi kuwa macho msimu huu wa likizo ndefu ili kuzuia ukeketaji . Na kama anavyoripoti Chrispine Otieno takwimu za serikali zinaonyesha kwamba tohara kwa mtoto msichana katika kaunti za Kisii na Nyamira ingali katika asilimia 84%