- 7,466 viewsDuration: 2:58Polisi walitumia vitoza machozi kuwatawanya wazee wa jamii ya Agikuyu ambao walikuwa wakifanya matambiko ya kupinga ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika kipande cha ardhi cha ekari 58 huko Githunguri, kaunti ya Kiambu. Wazee hao wanasema ardhi hiyo ni madhabahu ya kitamaduni na wameapa kupinga ujenzi wa nyumba hizo katika ardhi hiyo.