- 626 viewsDuration: 3:34Baraza la wazee kutoka Jamii ya Maa watishia kuongoza jamii hiyo kutounga mkono azma ya rais William Ruto kutetea muhula wake wa pili ofisini Iwapo mzozo uzingirao uhamisho wa usimamizi wa mbuga ya Kitaifa ya Amboseli hadi serikali ya kaunti ya Kajiado hautatuliwa